Chadema Media TV
Chadema Media TV
  • 4 779
  • 34 597 635

Відео

JESHI LA POLISI LANYOOSHEWA KIDOLE KWA KUKAMATA PIKIPIKI ZA WABEBA MIKAA VWAWA
Переглядів 1259 годин тому
JESHI LA POLISI LANYOOSHEWA KIDOLE KWA KUKAMATA PIKIPIKI ZA WABEBA MIKAA VWAWA
MDUDE ATUMA SALAMU KWA WALE AMBAO WANAWANYANYASA WANANCHI JIMBO LA VWAWA AAHIDI KULA NAO SAHANI MOJA
Переглядів 1329 годин тому
MDUDE ATUMA SALAMU KWA WALE AMBAO WANAWANYANYASA WANANCHI JIMBO LA VWAWA AAHIDI KULA NAO SAHANI MOJA
MDUDE NYAGALI AUWASHA MOTO JIMBO LA VWAWA
Переглядів 1869 годин тому
MDUDE NYAGALI AUWASHA MOTO JIMBO LA VWAWA
FAMILIA YA MBWANA KOMBO YAELEZEA JINSI KIJANA WAO ALIVYOTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA
Переглядів 1 тис.10 годин тому
FAMILIA YA MBWANA KOMBO YAELEZEA JINSI KIJANA WAO ALIVYOTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA
JOSEPH MBILINYI (SUGU) ATAMBA KANDA YA NYASA, MAPOKEO YAKE NI MAKUBWA
Переглядів 2,4 тис.15 годин тому
JOSEPH MBILINYI (SUGU) ATAMBA KANDA YA NYASA, MAPOKEO YAKE NI MAKUBWA
VIONGOZI WA CHAMA KANDA YA NYASA WAELEZEA KILICHOMKUTA MSIGWA NA KUHAMIA CCM
Переглядів 1,6 тис.21 годину тому
VIONGOZI WA CHAMA KANDA YA NYASA WAELEZEA KILICHOMKUTA MSIGWA NA KUHAMIA CCM
MWENYEKITI WA MKOA WA SONGWE AELEZA MSIGWA KUONDOKA PEKE YAKE
Переглядів 5 тис.21 годину тому
MWENYEKITI WA MKOA WA SONGWE AELEZA MSIGWA KUONDOKA PEKE YAKE
GOODBLESS LEMA AWASHANGAA WANANCHI KUUZA KURA KWA KAHAWA,KASHATA AU KONYAGI HUKU MAISHA MAGUMU
Переглядів 7722 години тому
GOODBLESS LEMA AWASHANGAA WANANCHI KUUZA KURA KWA KAHAWA,KASHATA AU KONYAGI HUKU MAISHA MAGUMU
MHE FREEMAN MBOWE AWATAKA WATANZANIA KUTAMBUWA SIASA NI MAISHA
Переглядів 26622 години тому
MHE FREEMAN MBOWE AWATAKA WATANZANIA KUTAMBUWA SIASA NI MAISHA
NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR MHE SALUM MWALIMU AKIUWASHA MOTO TANGA
Переглядів 94722 години тому
NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR MHE SALUM MWALIMU AKIUWASHA MOTO TANGA
NONDO ZA LEMA KWENYE SEKTA YA UTALII KWA VIJANA NA AKINA MAMA, AJIRA MILLION 30 ZINAPOTEA
Переглядів 37123 години тому
NONDO ZA LEMA KWENYE SEKTA YA UTALII KWA VIJANA NA AKINA MAMA, AJIRA MILLION 30 ZINAPOTEA
GOODBLESS LEMA ALIULIZA JESHI LA POLISI ALIPO KOMBO MBWANA
Переглядів 1,7 тис.2 години тому
GOODBLESS LEMA ALIULIZA JESHI LA POLISI ALIPO KOMBO MBWANA
CHADEMA KANDA YA NYASA KUWASHA MOTO JIMBO LA KYELA
Переглядів 8684 години тому
CHADEMA KANDA YA NYASA KUWASHA MOTO JIMBO LA KYELA
BUNGE LA WANANCHI KUCHAMBUWA BAJETI, WAITAKA SERIKALI KUTAFUTA VYANZO VYA MAPATO SIO KUKOPA
Переглядів 2064 години тому
BUNGE LA WANANCHI KUCHAMBUWA BAJETI, WAITAKA SERIKALI KUTAFUTA VYANZO VYA MAPATO SIO KUKOPA
FREEMAN MBOWE AZUNGUMZIA KUTEKWA KWA EDGAR MWAKEBELA NA KUTUPWA KWENYE PORI LA KATAVI
Переглядів 5 тис.4 години тому
FREEMAN MBOWE AZUNGUMZIA KUTEKWA KWA EDGAR MWAKEBELA NA KUTUPWA KWENYE PORI LA KATAVI
SAUTI YA GOODBLESS LEMA YATIKISA KATESHI AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI SIASA ILI KUJIPATIA MAISHA BORA
Переглядів 3804 години тому
SAUTI YA GOODBLESS LEMA YATIKISA KATESHI AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI SIASA ILI KUJIPATIA MAISHA BORA
"TAIFA LIMEJAZWA UWOGA HAKUNA ANAYEWEZA KUPIGANIA HAKI ZAKE WATAWALA WAMEPANDIKIZA HOFU" MBOWE
Переглядів 9204 години тому
"TAIFA LIMEJAZWA UWOGA HAKUNA ANAYEWEZA KUPIGANIA HAKI ZAKE WATAWALA WAMEPANDIKIZA HOFU" MBOWE
MHE FREEMAN MBOWE AELEZA JINSI SIASA INAVYOMHUSU KILA MWANANCHI
Переглядів 2954 години тому
MHE FREEMAN MBOWE AELEZA JINSI SIASA INAVYOMHUSU KILA MWANANCHI
GOODBLESS LEMA AKIAMSHA BASUTI AENDELEZA KILIO CHAKE KWA VIJANA WA BODABODA
Переглядів 1,3 тис.4 години тому
GOODBLESS LEMA AKIAMSHA BASUTI AENDELEZA KILIO CHAKE KWA VIJANA WA BODABODA
MHE FREEMAN MBOWE AONDOKA NA KUNDI LA WANANCHI BAADA KUMALIZA MKUTANO BABATI MJINI
Переглядів 8 тис.9 годин тому
MHE FREEMAN MBOWE AONDOKA NA KUNDI LA WANANCHI BAADA KUMALIZA MKUTANO BABATI MJINI
UTAWALA WA HAYATI MAGUFULI WAZIDI KUMTESA FREEMAN MBOWE
Переглядів 1,3 тис.14 годин тому
UTAWALA WA HAYATI MAGUFULI WAZIDI KUMTESA FREEMAN MBOWE
FREEMAN MBOWE AELEZA KIPINDI KIGUMU TAIFA LILIPITIA NA SASA NI WAKATI WA KUTAFAKARI
Переглядів 11314 годин тому
FREEMAN MBOWE AELEZA KIPINDI KIGUMU TAIFA LILIPITIA NA SASA NI WAKATI WA KUTAFAKARI
FREEMAN MBOWE ATOA KAULI YA KUWAUNGA MKONO WAFANYA BIASHA WALIOFUNGA MADUKA
Переглядів 2,3 тис.14 годин тому
FREEMAN MBOWE ATOA KAULI YA KUWAUNGA MKONO WAFANYA BIASHA WALIOFUNGA MADUKA
MHE FREEMAN MBOWE AELEZA HALI YA KENYA UKILINGANISHA NA TANZANIA BADO KENYA WAPO VIZURI
Переглядів 1,7 тис.14 годин тому
MHE FREEMAN MBOWE AELEZA HALI YA KENYA UKILINGANISHA NA TANZANIA BADO KENYA WAPO VIZURI
MBOWE ALITAKA JESHI LA POLISI KUJITAFAKARI KUENDELEA KUWALINDA WATESI WAO NA KUACHA KUTETEA UONEVU
Переглядів 1,6 тис.14 годин тому
MBOWE ALITAKA JESHI LA POLISI KUJITAFAKARI KUENDELEA KUWALINDA WATESI WAO NA KUACHA KUTETEA UONEVU
MHE FREEMAN MBOWE AWATAKA WATANZANIA KUACHA KUFUNGWA MINYORORO NA KULITAKA TAIFA LIWE HURU
Переглядів 10314 годин тому
MHE FREEMAN MBOWE AWATAKA WATANZANIA KUACHA KUFUNGWA MINYORORO NA KULITAKA TAIFA LIWE HURU
MHE FREEMAN MBOWE AUWASHA MOTO HYDOM
Переглядів 6414 годин тому
MHE FREEMAN MBOWE AUWASHA MOTO HYDOM
SAUTI YA GOODBLESS LEMA HYDOM JUU YA WAKULUMA APASUWA JIBU LA SERIKALI
Переглядів 75614 годин тому
SAUTI YA GOODBLESS LEMA HYDOM JUU YA WAKULUMA APASUWA JIBU LA SERIKALI
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA ZAPAMBA MOTO, CHADEMA YAZIDI KUITESA CCM UBUNGO
Переглядів 2,2 тис.14 годин тому
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA ZAPAMBA MOTO, CHADEMA YAZIDI KUITESA CCM UBUNGO

КОМЕНТАРІ

  • @omariabdallah1782
    @omariabdallah1782 9 хвилин тому

    Good speach salimu mwalimu

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 18 хвилин тому

    Tanga mmetuheshimisha sana nadhani sisisem matumbo joto

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 6 годин тому

    Mhhh kwasiasa hizo mtachelewa saana kupata uongozi

  • @user-fh1wg4jv9i
    @user-fh1wg4jv9i 7 годин тому

    Hawa wananchi wemedhihilisha upendo wa kweli najua hamujawapatia ata mia mbovu

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 7 годин тому

    Asante wananchi wa Tanga,jinsi mnavyohamasika hivyo kuhudhulia mikutano ya chadema, jitume kujiandikisha hivyo hivyo kwenye daftari la kupiga kura ili uchaguzi ukifika wote tukainyoe ccm kuanzia wenyeviti wa mitaa, vitongoji, vijiji, madiwani, wabunge na Rais.

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 7 годин тому

    Mheza Kumekucha

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 7 годин тому

    Hakuna Kukata Tamaa......Go Go Men of God

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 7 годин тому

    Mapambano yanaendelea

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 8 годин тому

    Tunahitaji kuwazika wote wanaodhani nchi hii ni ya chama fulani badala ya watu kwanza

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 8 годин тому

    Iko hivi raia hawezi vhukuliwa na police toka mkoani au Kata nyingine wakatoweka nae bila kituo Cha police Cha karibu kuwapa huyo mtuu ktk nchi zingine mtuu hawezi tuu kutoka makao makuu aje kwa kitongijini wabebe mtuu bila kukabiziwa na kituo Cha hapo karibu na kitongoji iwe serekali ya mtaa au kataa au jombo embu wanasheria wetu hapo nchini watufahamishe Hilo jambo linakuwaje mtuu kubeba watu km mizigo na kupoteza wengine moja kwa moja mpaka Leo lijadiluwe Hilo kwa makini sana watanzania tunaitaji ushikirikiano kuchukua hatua sababu wanafanya hata ni Waka rushwa zulumati ktk taifa letu ndio wanao tutesa ktk taifa letu kututisha tusiseme ukweli ili waendekee kuishi na watoto wao km peponi kutumia rasilimali zetu vibaya uowoga tusiwaogope ktk taifa letu hii nchi ni yetu sote

  • @MasterPetro-oj1fd
    @MasterPetro-oj1fd 9 годин тому

    Sisi vijana tunaomba tanganzo tusimame barabrani samia ameshindwa kuliongoza taifaletu la TANGANYIKA

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo 9 годин тому

    Viongozi wachama toeni tangazo kwa wananchi wawe wapiga picha gari maana wimbi limekuwa kubwa kila mwanchi tukio likitokea wakiulizwa mnaijua namba ya gari wasema hawajui Kuna tatizo kwa wananchi somo la thahadhari hawana

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 10 годин тому

    Ila msigwa wewe ni mtu MWENYE tamaa mbaya Sana

  • @user-tn5ym5gd6s
    @user-tn5ym5gd6s 11 годин тому

    Tunawatu na Tuna Mungu iyooo imeenda kamanda mbowe Bega kwa bega tumechoka na ndowa ya mkeka

  • @user-tn5ym5gd6s
    @user-tn5ym5gd6s 11 годин тому

    Good 👍kamanda thanks 👍for your life on your love and your life so much love

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 11 годин тому

    🙏🙏🙏

  • @GeofreyMayemba
    @GeofreyMayemba 12 годин тому

    Mimi ninadamu yachadema Toka nimezaliwa sijawahi kuwa chama kingine zaidi ya hichi sihami sitofikili kwenda kokote

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 13 годин тому

    Kabisa lema

  • @clemencemarcelli3365
    @clemencemarcelli3365 13 годин тому

    Safari yoyote abiria wengine hushuka na wengine hupanda na wote ni abiria tu makamanda pigeni kazi kuwatetea watz

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 14 годин тому

    Piga kazi Kamanda achana na yule ndumila kuili asiekubali matokeo mwanasiasa Malaya Malaya anaekubali kuhongeka

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff 15 годин тому

    Kaona maovu yote yanayokemewa hayakua maovu.... kiongozi mithili ya msigwa ni maslahi binafsi kwanza...haki,uhuru wa watu, demokrasia na maendeleo ya watu kwake haikua kipaumbele n its so sad! 😢

  • @fidelludemwa7223
    @fidelludemwa7223 15 годин тому

    Kazi ya konyagi povu linamtoka AAA mbowe

  • @user-td5ye9zb1l
    @user-td5ye9zb1l 15 годин тому

    Hongera Sana kamanda Sungu.

  • @yunamirambo2121
    @yunamirambo2121 16 годин тому

    😂😂😂

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 17 годин тому

    Mwalimu upo vizuri

  • @user-bb9jl9cn2m
    @user-bb9jl9cn2m 18 годин тому

    Nakuaminia

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 18 годин тому

    Mbichi hizi hamzitaki viongozi wote mmeisha changanyikiwa uwezo wa kuishinda CCM hamna kabisa kwa Sera za matusi .

    • @user-bx3ko9ft5t
      @user-bx3ko9ft5t 18 годин тому

      Wew huna lolote leteni katiba tujue uwezo wenu kazi kusifia tuuuu huna lolote mchumia tumbo

    • @markoshem-ij6cf
      @markoshem-ij6cf 14 годин тому

      Mubwa wewe unasifia na ujinga kweri

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 18 годин тому

    I see wataondoka wengi sana, mtu anaweza kuvumilia njaa ya siku moja tu ila sio njaa ya zaidi ya hapo. Naona wanajaribu kutafuta green pasture kwa udi na uvumba na CCM wanalijua hilo, na lazima watampa nafasi ya kugombea ubunge Iringa Mjini.. Mark my word

    • @abubakarimussa9131
      @abubakarimussa9131 14 годин тому

      Hata ccm wataondoka sana wewe subiri

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb 13 годин тому

      @@abubakarimussa9131 mpaka pakiwa na njaa mzee, hivi hivi watatoka na kurudi.. hakuna ccm mpinzan

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 18 годин тому

    chadema mnakosea mwana chadema akienda ccm msitengeneze chuki nae maana anaweza kuwa kiungo mzuri kuleta taarifa

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 19 годин тому

    Semeni ccm wanapokea makombo ya chadema na hakuna jipiyia ndani ya ccm kwa nn wezi wachafu wanatumia wasafi kutoka njee wakae nyuma yao kujaribu kusafisha mabaya yao lakini ccm kunzo yao police usalama wa taifa jeshi tuseme ukweli hakuna ccm Kuna madictetor tuu ndani ya chama wengi wachumia matumbo yao sio haki za wananchi kwenda ccm toka upinzani wewe ni adui kwa watanzania km maadui wengine Huko ccm usalama wa taifa kuuwa watanzania na kuwapekeka ktk lfazi za wanyama pori wakiwe wasionekane hata mifupa Hawa usalama wa taifa ni maadui wa nchi yetu tuanze nao popote walipo kuacha wenye kuujumu nchi na kuua wasema ukweli ktk taifa ase kumbe ccm ni adui mkubwa mpaka na rangi yake ya kijani hafai hata kuwa karibu na watanzania wasema ukweli niliona tuwatetee ili tuwe salama kumbe laa

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 20 годин тому

    Truth

  • @eunho9529
    @eunho9529 20 годин тому

    miongoni mwa wanasiasa niliokuwa nikiwapenda binafsi ni msigwa, lakini kanisikitisha kwa kitendo chake cha kuamia ccm, kwa maana hiyo msigwa anaenda kula matapishi yake mwenyewe. sioni kama ana impact kubwa kwa chadema. kumzidi alivyokuwa Dr. Slaa.

  • @josephsamsonnyanja2422
    @josephsamsonnyanja2422 20 годин тому

    🙏🙏🙏🙏 Brilliant

  • @Timothymlamba-pq3oi
    @Timothymlamba-pq3oi 20 годин тому

    Tunataka mgombea mzuri 2024 syo wakina lisu tumezoea

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 20 годин тому

    WELL SAID 👏🏼👏🏼👏🏼

  • @user-em9vh8wr5c
    @user-em9vh8wr5c 20 годин тому

    Hongera sana kiongozi

  • @eunho9529
    @eunho9529 20 годин тому

    big up

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 21 годину тому

    True

  • @kingj9606
    @kingj9606 День тому

    KUHUSU MSIGWA:- Wanasemaga mbwa hawezi kula matapishi yake, ila leo ndo imekuwa ukweli. Yaani Mchungaji mzima na yale yote aliyosema kwa ccm leo hii anasema anaenda kukijenga chama?. Kwa hiyo chama kiendelee kuteka watu, kupoteza au na kuiba, n.k. 😂. Kwani huwezi kujenga nchi bila kuwa na chama?. Mbona watanzania wengi wanaijenga nchi na hawana hata chama. Hao wauza karanga kariakoo wanaolipa kodi TRA hawaijengi tanzania?. Au kwani Bakhresa ushawahi msikia anasema anasubiri mwenyekiti wa ccm amwambie nini afanye kujenga tanzania?. 😂.

  • @jumashimba9620
    @jumashimba9620 День тому

    Lema wewe ni kamanda

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp День тому

    Cdm Itabaki3 Ata Aende Nani

  • @Noelkitoi
    @Noelkitoi День тому

    Ccm wameanda kura bandia sisi kama vijana tuko tayari kupeleka ccm nyumbani atutaki ccm ni serekali ya wezi

  • @Noelkitoi
    @Noelkitoi День тому

    Tundu lisu yuko wapi maana ccm ni wanyama

  • @user-tn5ym5gd6s
    @user-tn5ym5gd6s День тому

    Kwa leo umetisha kamanda thanks hivi nivata imeanaza kwa leo tumechukuwa jibo kikosi chetu ni mafanikio yetu kamanda thanks again for ever seeing your love nipo njaa shagara bagalllll

  • @user-tn5ym5gd6s
    @user-tn5ym5gd6s День тому

    Kamanda tako pamoja amazao amazetu kinjiyo chao ninacho ni kupiga kura na kulinda kuru yangu kheri chadema kheri Kamanda Mbowe wape Salama wamezoweya kuchukuwa na kuweka Safari hii kinaweleweka

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 День тому

    Chadema ni chama madhubuti sana but kinapoteza mvuto kwa kauli zenye kuashiria ubaguzi

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 День тому

    Lema Lema. Mifano ni mizuri na ndicho kinaleta umasikini! Je tutawezaje kuwasaidia hawa GEN Z!! Haya mahesabu hayajai kwa watu hawa wanaokusikiza!

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 День тому

    Elim iendeleee kutolewa

  • @MasumbukoZuhumpa
    @MasumbukoZuhumpa День тому

    CDM,tunawaelewa,

  • @JohnLissu
    @JohnLissu День тому

    Nchii elimu bado Ndio maana watawala wanaburuza wanavotaka